Mtaala wa haki za kisheria bure kwa watoto, kwa Kiswahili,Kuanzia Jumamosi hii ya tarehe 2 mwezi wa tano. pata Zaidi maelezo hapa chini. Mega FM na shirika la Inherit Your Rights zinashughulika pamoja ili kuwaweka watoto wako bize na kuwapa habari muhimu kwa Maisha yao.
top of page
bottom of page
Comentarios