ZIFAHAMU SHERIA ZINAZOLINDA HAKI ZA WATOTO
- inherityourrights
- May 4, 2020
- 1 min read
Mtaala wa haki za kisheria bure kwa watoto, kwa Kiswahili,Kuanzia Jumamosi hii ya tarehe 2 mwezi wa tano. pata Zaidi maelezo hapa chini. Redio 5 na shirika la Inherit Your Rights zinashughulika pamoja ili kuwaweka watoto wako bize na kuwapa habari muhimu kwa Maisha yao.
Comments